Mwanafunzi UDOM atengeneza mtandao wa kijamii wa 2daySky

explicity

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
207
140
*_TANZANIA JOIN 2DAYSKY_*

Hii ni Kampeni Maalumu ya kumsapoti mwanafunzi wa *_UDOM_* anaeitwa Elisha William anayesoma *College of Informatics*ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa mawasiliano wa *_2daySky_* ambao unafanya Kazi kwa ufanisi zaidi ya *Facebook*.

Kabla ya kuanza kuutangaza nje ya nchi inabidi wa *Tanzania* tumuunge mkono kwa kuutumia mara kwa mara mtandao huu ili uwe na watumiaji wengi zaidi.

Imagine watanzania wanotumia internet 2,000,000 kila mmoja akialika ndugu zake watano na wote tukaanza kuutumia mtandao huu huku tukawaalika ndugu zetu watano na wao wakaalika marafiki zao toka sehemu mbalimbali duniani ndani ya mwezi mmoja mtandao huu utakua na watembeleaji wangapi?

Binafsi kwa wiki moja nimefanikiwa kualika watumiaji wapya zaidi ya 100.

Kupitia 2daySky utaweza kuchat na marafiki,kutuma picha, video, Notes, kutengeneza Groups nk.

Kujiunga Bure Bonyeza:
*_www.2daysky.com_*
Email: info@2daysky.com
Simu:0753027676

_*Tuitangaze Tanzania kupitia mazuri yake*_..... *Kuwa mzalendo, Tumia mtandao wa Kitanzania*

Share
 
Hiyo 2daySky alimaanisha Today Sky, alafu mbona haupatikani? Huo uandishi wa 2 badala ya To ni upuuzi na humo tusitegemee kipya.
Acha Dhana Ya Kijinga Ndugu Yangu, Wewe Unakosoa Neno Mbona Hukosoi Mtandao Husika?!.

Unajishushia Heshima Yako Bure We Sema Unapata Jiroho Kuona Mwenzako Kafanya Chema, Unasifia Ya Wazungu Na Kuiponda Mitandao Ya Wazalendo.
Acha Jiroho Ndugu.
 
Nimejaribu kuangalia tofauti kati yake na FB naona kama ni copy paste, labda rangi.

Hope utapata wateja.

Kila la kheri
Mkuu Hakuna Mtu Anayeweza Kufanya Kitu Kipyaaaaaaa Kabisa Leo.

Hata Huyu Wa Fb Aliiga Hi5, Emails, Loca Network Na Kwingineko Kisha Akabadili Kidogo Tu.

Hi5 Nayo Ilikuwa Poa Sema Pindi Ile Access Ya Internet Haikuwepo Kama Leo Mpaka Vidoleni.
 
Acha Dhana Ya Kijinga Ndugu Yangu, Wewe Unakosoa Neno Mbona Hukosoi Mtandao Husika?!.

Unajishushia Heshima Yako Bure We Sema Unapata Jiroho Kuona Mwenzako Kafanya Chema, Unasifia Ya Wazungu Na Kuiponda Mitandao Ya Wazalendo.
Acha Jiroho Ndugu.
Unataka nikosoe mtandao pia!! Hakuna ubunifu wowote zaidi ya COPY and PASTE ya FACEBOOK.
Screenshot from 2016-06-06 17:49:29.png
 
Acha Dhana Ya Kijinga Ndugu Yangu, Wewe Unakosoa Neno Mbona Hukosoi Mtandao Husika?!.

Unajishushia Heshima Yako Bure We Sema Unapata Jiroho Kuona Mwenzako Kafanya Chema, Unasifia Ya Wazungu Na Kuiponda Mitandao Ya Wazalendo.
Acha Jiroho Ndugu.
About 2daySky
wamo!!
 
Tengeneza yako mkuu iwe na ubunifu zaidi ya jamaa.
Kutengeneza sio kazi hata kidogo. Hata mwanafunzi wa darasa la saba ukimwelekeza anaweza. Kazi ni kutengeneza kitu cha tofauti na kuweza kuvutia wanachama wengi. Si kama nadharau kazi aliyofanya. Amejitahidi. Sana sana nitamshauri awe mbunifu zaidi. Kwa mfano aliyetengeneza insta angecopy kila kitu kutoka facebook pengine asingeweza ''kutoka''. Lakini aliboresha akaja kivingine.
 
*_TANZANIA JOIN 2DAYSKY_*

Hii ni Kampeni Maalumu ya kumsapoti mwanafunzi wa *_UDOM_* anaeitwa Elisha William anayesoma *College of Informatics*ambaye amefanikiwa kutengeneza mtandao wa mawasiliano wa *_2daySky_* ambao unafanya Kazi kwa ufanisi zaidi ya *Facebook*.

Kabla ya kuanza kuutangaza nje ya nchi inabidi wa *Tanzania* tumuunge mkono kwa kuutumia mara kwa mara mtandao huu ili uwe na watumiaji wengi zaidi.

Imagine watanzania wanotumia internet 2,000,000 kila mmoja akialika ndugu zake watano na wote tukaanza kuutumia mtandao huu huku tukawaalika ndugu zetu watano na wao wakaalika marafiki zao toka sehemu mbalimbali duniani ndani ya mwezi mmoja mtandao huu utakua na watembeleaji wangapi?

Binafsi kwa wiki moja nimefanikiwa kualika watumiaji wapya zaidi ya 100.

Kupitia 2daySky utaweza kuchat na marafiki,kutuma picha, video, Notes, kutengeneza Groups nk.

Kujiunga Bure Bonyeza:
*_www.2daysky.com_*
Email: info@2daysky.com
Simu:0753027676

_*Tuitangaze Tanzania kupitia mazuri yake*_..... *Kuwa mzalendo, Tumia mtandao wa Kitanzania*

Share
Binafsi niko ready kumpa chalii support 200% ila aangalie sana kabla hajazindua website officially na anataka watu tumchukulie seriously lazma alete kitu chenye ubunifu na utofauti kidogo na aangalie sana vitu vidogo vidogo vinavyokera mfano sasaivi nimecheki iyo link haipatkani sasa im not IT savvy but clearly its not complete or its broken nadhani angehakikisha kwanza iko fully functional kabla ya kuileta kwa public vinginevyo tutamuona kama anazingua tu na kutupotezea muda kumbe unaeza kuta ana idea ya ukweli ani!!
 
Back
Top Bottom