Hivi Naweza Kuskiliza Radio kwa Laptop bila internet kama vile simu...?

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,422
2,418
Habari wakuu.

Hope mko sawa kabisa. Hivi naweza kuskiliza radio iwe ni za hapa nyumbani au nje kwa kutumia laptop kama sina internet mfano nnavyoskiliza kwenye simu...?

Kama naweza nipe njia za kufanya hivyo na kama siwezi ni kwa nini haiwezekani au kwa nini haikuwekwa hiyo kitu...?

Thanks wakuu.
 
Labda kama pc yako imekuja na hardware ya fm radio tayari, sijui kama hii ipo kwa dunia ya sasa maana mambo yanahamia kidijitali, wanategemea utumie internet kusikiliza online radios.
 
kwa desktop unatafuta tu pci/pcie card halafu unaichomeka, kwa laptop tafuta tv tuner zile wanazotumia kuangalizia tv chomeka utapata na fm radio

ila gharama zake ni bora tu ununue kiredio pembeni au simu ya tochi yenye redio
Kaelewa sana.
 
Labda kama pc yako imekuja na hardware ya fm radio tayari, sijui kama hii ipo kwa dunia ya sasa maana mambo yanahamia kidijitali, wanategemea utumie internet kusikiliza online radios.

No, haijaja na hiyo kitu kiongozi.
 
kwa desktop unatafuta tu pci/pcie card halafu unaichomeka, kwa laptop tafuta tv tuner zile wanazotumia kuangalizia tv chomeka utapata na fm radio

ila gharama zake ni bora tu ununue kiredio pembeni au simu ya tochi yenye redio

Thanks broh. Natumia laptop kiongozi si desktop.

Hii tv tuner kwa bongo naweza kupata wapi na bei zake zinakuwa vipi mkuu...?
 
Ooh okay, ni mtaa gani kiongozi kwa kumbukumbu yako labda...?

Na pia, hizo usb card ni kwa radio pekee au hata tv naweza kuangalia mkuu...?

Thanks a lot.
ni pale mtaa wa uhuru, hizi pia zinakubali na tv ila ni zile Terrestral yaani mfano zile decoder za antena kama digitek. kuna kipindi tv continental dikoda zilikuwa zinakubali, sasa kutokana na uwepo ving'amuzi itabidi uinganishe na dikoda.
 
We mpaka keo bado hujafungua akili yako na kukubali uwepo wa Mungu ?
 
Back
Top Bottom