Kumbe unaweza ku connect simu yenye 4g kwa wifi yake na laptop

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Laptpo imegoma kuitambua simu kwa USB, Nimesumbuka mpaka nimekumbana na virus, asa leo from nowhere nimekutana na kitu inaitwa android wi-fi, very interesting....
Yani una connect internet ya simu wirelessly via wi-fi ya simu na unapata internet flow ya mwendokasi kama kawa kwenye laptop.. sina uhakika kama ni kwa simu zote....

I hope wenzangu mlikua mnajua hii, mie imenitoa ushamba leo.
 
Mimi nilishasahau kutumia MODERM kitambo sana.
Huwa natumia simu yangu (Smartphone) kuunganisha Internet kwa PC...!
 
Hongera kwa kugundua hilo leo, ila mbona hii kitu watu tunaifanya toka kitambo sana?? Tulishatupa modem kitambo sana.
Okei, labda ujue kingine, hiyo hotspot ya wifi ya simu yako unaweza connect na laptops zingine pia.
 
Pole sana mkuu,Kwa kweli mimi nimeanza kutumia hio kitu android WiFi ya laptop na simu tangu 2012 kabla ya hio 4g
hahaha mkuu simu gani hiyo, ni lazima uwe genius 2012!?
 
Hongera kwa kugundua hilo leo, ila mbona hii kitu watu tunaifanya toka kitambo sana?? Tulishatupa modem kitambo sana.
Okei, labda ujue kingine, hiyo hotspot ya wifi ya simu yako unaweza connect na laptops zingine pia.
huwezi amini aisee niiuziwa laptop figisu hii December 15, ina windows 64bits. feki kweli hata haiwezi ku update to windows 10. usb haiukubali simu yoyote ingawa modem inakubali. ina blue tooth lakini haipatikani ....sasa ishu nikuongeza mb kwenye modem.....ila leo kwakweli nimefurahia hiyo android wifi....
 
Uzur leo umetambua ila hiyo service ipo zaidi ya miaka 8 sasa kabla ilikua tukidownload softwarr inayoweza kuifanya sim kutoa hospot
daaaamn!! muwe mna share basii dah!! mbona mie nilisaka sana ....ni software gani mkuu
 
Karibu smartphones nyingi sasa zinatumika kuunganisha na laptop provided kuna wifi na internet connections nzuri.

Kwenye smart phones unakwenda kwenye settings na hapo unaset internet sharing kuwa ON na inaungana na laptop.

Lakini inabidi kufanye PAIRING kwanza kwenye BLUETOOTH.

Yaani pia inasaidia kutumia laptop kuona kwa ufasaha webpage pale inapokuwia vigumu kutumia smartphone kuangalia vitu kama picha na videos.

Hali ni hiyohiyo kama una PC ambazo nyingi siku hizi zipo zinazouzwa zenye wifi capability.
 
Yani mchezo wa kununua modem wakati simu ipo, au kuongeza salio kwenye modem halafu kuinunulia bundle....dah nimesota sana aisee......
 
Kwenye simu kuna kitu inaitwa portable wi-fi hotspot, turn on hiyo kitu kwenye simu na pia washa wifi kwenye pc. Ukicheki kwenye list ya available connections kwenye pc itaonekana na unachofanya ni kuconnect tu basi, ikidai password ukienda kwenye setting za wifi hotspot kwenye simu password itaonekana. Mi ndo huwa natumia hiyo kila siku
76488f72c0124980c813f832248d9e6f.jpg
 
Karibu smartphones nyingi sasa zinatumika kuunganisha na laptop provided kuna wifi na internet connections nzuri.

Kwenye smart phones unakwenda kwenye settings na hapo unaset internet sharing kuwa ON na inaungana na laptop.

Lakini inabidi kufanye PAIRING kwanzakwa kwenye BLUETOOTH.

Yaani pia inasaidia kutumia laptop kuona kwa ufasaha webpage pale inapokuwia vigumu kutumia smartphone kuangalia viu kama picha na videos.

Hali ni hiyohiyo kama una PC ambazo nyingi siku hizi zipo zinazouzwa zenye wifi capability.
ila mkuu katika hii connection bluetooth haihusiki, simu yenyewe ina provide wi-fi nakukupa net ya 3au 4g...kuna password ya wifi simu inakuonyesha uweke kwenye pc.

Tatizo ni hizi laptop figisu za laki 6-8.......vurugu kweli
 
Kwenye simu kuna kitu inaitwa wifi hotspot, turn on hiyo kitu kwenye simu na pia washa wifi kwenye pc. Ukicheki kwenye list ya available connections kwenye pc itaonekana na unachofanya ni kuconnect tu basi, ikidai password ukienda kwenye setting za wifi hotspot kwenye simu password itaonekana. Mi ndo huwa natumia hiyo kila siku
huwezi amini nilikua sijui kabisaaaaa, hakuna kitu kilikua kinaniudhi kama kuongeza bundle kwenyye modem...so, that means smart zote zina hii function...dah....i wonder why nina mamodem ya kila mtandao....
 
Siku hizi modem hazina ishu kiukweli. Ila usiwaze mkuu, hamna aliezaliwa huku anajua kila kitu, so hiyo ni kawaida. Kwa namna moja au nyingine kila siku tunazidi kujifunza vitu vipya. Actually hii portable wifi-hotspot inaruhusu hata device nyingine kuconnect na kutumia wifi ya simu yako, sio pc pekee. unaweza ukawa na mtu wako wa karibu afu hana bundle, unachokifanya ni kutumia tu njia hii na kumuwezesha kuconnect kwenye wifi yako na akapata access ya internet kwenye smartphone yake kama kawaida
 
ila mkuu katika hii connection bluetooth haihusiki, simu yenyewe ina provide wi-fi nakukupa net ya 3au 4g...kuna password ya wifi simu inakuonyesha uweke kwenye pc.

Tatizo ni hizi laptop figisu za laki 6-8.......vurugu kweli

Hiyo BLUETOOTH ipo kusaidia file transfers na inasaidia kujenga BRIDGE kati ya vifaa hivyo.

Ila simu zote kama iPhones, BlackBerrys, Windows Phones na Android zina hiyo Internet Sharing au tethering na zina uwezo wa kuwa wifi hotspot
 
Back
Top Bottom