Duh natengua usemi wangu, ufunguzi na mchezo wa jana ulionyeshwa moja kwa moja na channels nilizo taja hapo juu. Lakini leo hakuna hata channel moja kupitia king'amuzi cha Azam inarusha live michezo iliyochezwa leo, labda ule wa baadae England Vs RussiaAzam kuna channels kama 4 wanaonyesha Euro. ZBC2, Ktn, Ubc, MBC