sijui bei za lumia 830 zipoje kwa hapa bongo ila ni simu nzuri sana kwa design, material na camera na pia ina 4g. kwa huko duniani bei zake zimeshuka sana nafkiri hapa pia zitakuwa zinapatikana ndani ya hio budgetMkwawa nataka badili hii Lumia yangu nipate ingine mpya kwa najeti ya laki nne ilaiwe Na 4g Na kamera nzuri lakini iwe Na material mazuri ya utengenezwaji mfano kilo imara Na mengineyo je. Nitafute ipi
hio ya kujiwasha ndio ilivyo huwezi kuibadili, na ringtone ni hadi utumie app ya ringtone maker hawaruhusu kueka nyimbo nzima sababu watu wanasumbua mitaani hadi uikate kikae kipande cha sekunde kadhaa ndio inakubaliLakini pia mkwawa nisaidie kuhusu Hili je kwa Lumia 535 unapotaka kuselekt nyimbo itumike Kama incoming call wafanyaje napia kwa nini my Lumia inapokua unaichaji hata Kama ulizima hujiwasha yenyewe
yap download, kama una windows 10 download microsoft ringtone makerXo niingie store nipakue hiyo ringtone maker utanipa Tu mwongozo wa nini cha kufanya Si ndivyo? ILA nimetoka kutizama. Review ya Lumia 830 Ni hatari wazungu Sana faidi aisee
kwa sasa unatumia lumia gani?Xo niingie store nipakue hiyo ringtone maker utanipa Tu mwongozo wa nini cha kufanya Si ndivyo? ILA nimetoka kutizama. Review ya Lumia 830 Ni hatari wazungu Sana faidi aisee
kwa sasa unatumia lumia gani?[/QNatumia Lumia 535 mkuu
Naitaka hiyo Lumia 830microsoft lumia 650 ipo gud hyo
Kama una pc unawezekana mkuu kuweka nyimbo kuwa ringtone kwenye simu yako. Ukisha connect usb yako kwenye komputa, itasoma ma file ya simu yako. Tafuta nyimbo unayoipenda copy kwenye file la ringtone kwenye simu yako. Then nenda kwenye kwenye simu yako sehemu ya ringtone utaiona hiyo nyimboLakini pia mkwawa nisaidie kuhusu Hili je kwa Lumia 535 unapotaka kuselekt nyimbo itumike Kama incoming call wafanyaje napia kwa nini my Lumia inapokua unaichaji hata Kama ulizima hujiwasha yenyewe
Ngoja nifanye hivyo mkuuKama una pc unawezekana mkuu kuweka nyimbo kuwa ringtone kwenye simu yako. Ukisha connect usb yako kwenye komputa, itasoma ma file ya simu yako. Tafuta nyimbo unayoipenda copy kwenye file la ringtone kwenye simu yako. Then nenda kwenye kwenye simu yako sehemu ya ringtone utaiona hiyo nyimbo