zootopia
Member
- May 29, 2016
- 74
- 76
Habari za mda huu wana jamvi,mimi ni mgeni humu lakini ndo nshaanza kuwa mwenyeji hivyo.Juzi nilikua natafuta laptop nzuri kwa matumizi yangu,katika kupita pita mitandaoni nikakutana na blog moja inaitwa CInet imeweka laptop moja inayoitwa Hp chromebook 13,binafsi niliipenda hyo "Chromebook" Lakini cjajua kwa hapa bongo ntaipata wapi kwakweli maana mpaka sasa nimetembelea maduka kama matatu wakaniambia hawajawahi kuisikia licha ya kuiona.Naombeni msaada wenu wanajamvi.
THANK FOR YOUR ATTENTION.
THANK FOR YOUR ATTENTION.