God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,068
Mwenye utaalamu na haya mambo jaman msaada maana naona kila nkisearch google napata website kibao sasa sijui kuna usalama huko.
Au bora tuu ni download moja kwa moja kutoka kwa hawa official manufacture mfano hp kuna hp driver update utility, dell pia wanayo official pia unaweza kutumia microsoft moja kwa moja so mimi jaman nahitaji uzoefu wenu maana sina uzoefu sana na haya mambo.