Msaada anaejua kurecharge simcard ya ttcl

mi niliwapigia wakaniambia vocha unaweka kwenye website yao. unaingia kwenye hio website utakuta sehemu ya kueka namba na vocha, na vifurushi pia unajiungia huko.

jamaa hawa wanazingua bado kwa style hio mteja wa kAwaida atawezaje?
 
Back
Top Bottom