Tecno ndogo t347

rmvicentrm

Senior Member
Jan 8, 2016
147
26
Hii ni simu ambayo nimeitumia kwa muda kidogo
Hivi karibuni kama wiki moja ilikua haiwezi kurecognise namba zilizopigwa, zilizoingia pamoja na missed call lakini ilikuwa selective kwenye namba moja tu upige, upokee au miss call ilikuwa inaonesha hiyo no tu

Baadae imeshindwa imefail kufanya kazi kabisa
Inaonesha weusi tu ukiiwasha
MSAADA WENU TATIZO NI NN JE INAWEZA KUTENGENEZEKA...
6327a800ecb7ffb4c5bcaff633995294.jpg

939da6789e251bdf008a8d1861c2fcf0.jpg

Naomba msaadA wenu...
 
na mm nina ka tecno t526 natumiaga jf nayo kwa sababu inakaa na chaji a wholeday tatizo la hi cm huwa haingii youtube na ki app cha youtube kpo
 
Mkt au mtk Japo nahisi ni SPD sababu hata t348 ni SPD pia ni simu za kijinga tofaut na t340 au 605,611 ambazo ni MTK
Sorry for correctin me .. Kiukweli ni Mtk... Typing error... Kiukwel spd ndo cpu za ovyo.... Tena usiombe ukakutana na hizo allwinner duuuh ni balaa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Hv mr ushawah kuona zile t340 feki zinakuja na coolsand cpu...? Aisee mchina hana maana
Yap hata kioo chake kinakua ni njia 24 japo hata njia 20 kinasoma na hizi t340 original zinatumia njia kioo16
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom