- Tofauti ni kuwa offline inaweza fanya kazi bila hata ya internet ila kwa online lazima kuwe na internet ili iweze kufanya kazi.
- Yap unaweza kutengeneza Website then baadae ukaja kutengeneza app ya hiyo website yako na vikafanya kazi vyote kwa pamoja.
Kama umetengeneza app yako unataka kuiweka kwenye playstore ya android au apple juu ni hatua gan unazozifwata
Na kuna gharama yeyote unazopaswa kulipia au mashart ya kufwata
Poa mkuuGharama zipo unalipia kitu kama $25 kwa play store tumia hii link Redirecting... kisha lipia halafu unaiweka... kwa apple tumia hii link utajua zaidi How To Submit Your Own App To The iTunes App Store
Salut kwako mkuuGharama zipo unalipia kitu kama $25 kwa play store tumia hii link Redirecting... kisha lipia halafu unaiweka... kwa apple tumia hii link utajua zaidi How To Submit Your Own App To The iTunes App Store