jaribu kupitia hapa..Samsung Galaxy s5 Sm-G900A
Based version G900AAUCU4CO15
Haina EMEI kabisa, fundi kasema mpaka to root lakini root yake kasema bado.
Nimeanza na hii chamelephon inasema hivi " your processors type is not Media Tek! The application works only with Media Tek processor "jaribu kupitia hapa..
How To Root Samsung Galaxy S5 SM-G900A for AT&T? (Without PC) | Tutorials
alafu kuhusu kiweka imei.. nenda play store ..kuna app inaitwa "chamelephon". by cyptotel
ichukue..
cheers!!