Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,266
Za leo wakuu.. natumai wazima wa afya nyote.
Ni muda mrefu umepita tangu kampuni moja ya india, Ringing Bells izundue simu aina ya smartphone Freedom 251 yenye line 2,processor speed 1.3ghz, memory ya ndani G8,RAM GB1,camera 3.2 megapixels, Kampuni ya Ringing Bells ambayo ni changa kwenye soko la smartphone walisema kuwa simu hiyo itagharimu rupee 251 ni bei rahisi zaidi duniani kwa dollar 4 za marekani sawa na shilingi 8700 za kitanzania. Sasa je wadau iko wapi hii ambayo ilikuwa kimbilio letu kwa sisi wenye kipato cha chini tusioweza bei ya iPhone, Samsung Galaxy, Htc, Sony..!?
Karibu sana..!