Wataalamu wa ku upgrade android version

Jamani kama Kuna mtaalamu wa ku upgrade android version kwa kutumia pc. Tafadhari naomba tuwasiliane. Simu yangu ni samsung s5 sm-g900f. Mawasiliano 0625470735
Unataka kuipeleka version ipi?
 
Jamani kama Kuna mtaalamu wa ku upgrade android version kwa kutumia pc. Tafadhari naomba tuwasiliane. Simu yangu ni samsung s5 sm-g900f. Mawasiliano 0625470735
Kwan simu yako haina sehem ya ku update automatic.. kwenye settn alaf about.. update software??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom