Keywords za kuangalia Sony z4

Mr.kichuli

Member
Mar 21, 2013
29
4
Habari zenu mi naomba kusaidiwa kwa anaejua keywords za kuangalia kama Sony z4 simu ni orijino au laa,
 
Kijana clone za z4 zilitoka nyingi... Only solution ingie web inaitwa imei.info alaf halo kuna sehem ya kuandika imei ya simu yako... Then click check.. Kama ni original utaonesgwa simu yako na details zake zote.. Isipooneshwa ujue umepigwa... Also u can try to confirm ba tcra.. Ila mi ningependelea imei.info
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom