popo1986 JF-Expert Member Jul 30, 2014 1,120 372 Jun 14, 2016 #1 Naombeni MSAADA Wataalam ninataka kubadilisha jina katika E mail ya gmail nafanyeje? Mail ni ileioe ila jina nataka lingine msaada wakuu
Naombeni MSAADA Wataalam ninataka kubadilisha jina katika E mail ya gmail nafanyeje? Mail ni ileioe ila jina nataka lingine msaada wakuu
M masterplanner JF-Expert Member Oct 23, 2015 264 333 Jun 14, 2016 #2 Login to Google My Account Nenda sehemu ya "Personal info & privacy" Chagua "Your personal info." Then chagua info unazotaka kuedit kama ni Name, Gender, Phone # etc
Login to Google My Account Nenda sehemu ya "Personal info & privacy" Chagua "Your personal info." Then chagua info unazotaka kuedit kama ni Name, Gender, Phone # etc