Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kipindi hichi cha EURO 2016 Facebook messenger wameiachia game ya soccer ambayo watu walikuwa wanaisubiria, kama unakumbuka ile ya basketball it was VERY FUN, lakini hii ya soccer it's MUCH FUN...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Waheshimiwa nataka kununua simu aina ya sony naomba kujua tofauti ya sony T na sony Z na ipi bora kati ya aina hizo za simu
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekinuuna yapayata mieezi sits iliyopita baggti nbaya nilikua nimesafiri sasa nimerudi kila nikiwasha kinaniambia no signal je nifanyeje, nimejaribu kuzungusha antenna bado Niki search Chanel...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nime-download fifa 15 katika PC yangu ya core i3 ila kila nikifungua inagoma sasa nashindwa kuelewa tatizo ni uwezo wa Pc au kuna mautundu mengine unayo takiwa kufanya kama yapo mnielekeze wakuu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natumain wte humu ni wazima Kama kuna m2 anaijua sage evolution vizur naomba msaada jinsi ya kufanya offline branching Coz nafanya bt kuna error napata
0 Reactions
0 Replies
684 Views
IWE NA SIFA HIZI: core i3 2.5 processor graphics card iwe ni NVIDIA au AMD kuanzia 512mb na kuendelea HDD iwe kuanzia 320 na kuendelea RAM kuanzia 4GB na kuendelea processor yake ianzie 3rd na...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
ChatDealz is redefining the concept of local connectivity in TANZANIA.ChatDealz helps you to connect with your surrounding people/businesses in TANZANIA . Install ChatDealz @ YoApp: Hyperlocal...
0 Reactions
1 Replies
600 Views
Ofa imekwisha, Asante kwa wale walio onesha ushirikiano || Offer has been expired! Thanks for those who show their supports.
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wadau? Nina Laptop yangu ambayo nilikuwa naitumia kwa shughuli mbalimbali nashangaa kwa sasa imegoma kupata internet japo nikiunganisha modem inaconnect vizuri na speed inakuwa poa tu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenzangu simu yake haipokei wala kupiga au kutuma na kupokea SMS lakini anatumia data kuperuzi na whatsapp.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wadau? Simu yangu ya LG inakataa kuchaji mpaka niizime ndo inachaji. Je ushawahi kukutana na tatizo hilo au una experience yoyote kuhsu hilo? Naomba msaada wadau nilitatueje.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za jioni wakuu, natumia HTC one m7 lakini tangu juzi simu yangu imekuwa kwenye mode ya limited services so siwezi kupiga simu wala kutuma meseji, lakini cha ajabu matumizi mengine ya data...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
WanaJF naomba kujulishwa wapi kwa Dar nawezapata fito za dish la ft 8 la bati(sio la wavu). Aidha, nijulishwe na bei yake.
0 Reactions
2 Replies
997 Views
3 Skypephone 4Nine Accord ACE Ace Acer ACME Adcom ADVAN AEG Aigo Aimax Ainol Aircel Airis AirTyme Akai Alcatel Aldo Allview Allwinner Aluratek ALVO Amazon Ambrane AMC Amgoo...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Na uhakika hakuna simu itakayozimwa Leo Kuna simu original zina imei fake Na kuna simu fake zina imei original HII PROGRAM ILIANZA KENYA ....ILISHINDIKANA MPAKA KESHO WAKENYA WANADUNDA NA SIMU...
9 Reactions
46 Replies
6K Views
Wakuu, Nimeweke information zote znahitajka sijapata barua ya Google niverify listing. Naomba msaada kwa aliyewahi. Thanks!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu wanajamvi Nilidownload adobe photoshop CC sasa lakini nime experience matatizo mawili ambayo naomba msaada kwa wanaofahamu zaidi. 1.Adobe photoshop 3d haifanyi kazi. Kazi zote nafanya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hapa Dar naweza kupata wapi fundi wa uhakika wa simu tajwa hapo juu??????waweza nipigia 0787415306
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Guys vip?? Hivi ni namna gani naweza pata rangi safi kama hizi na jinsi ya work na picha yenye details nyingi hivi....
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom