Whatsapp introduces quoted message response

July Fourth

JF-Expert Member
May 2, 2012
2,240
794
6563d343399c70a5b8a5b366d5854fe3.jpg

How many times have you been messaging a group of people and you try to answer a question or respond to something, but someone else writes something unrelated before you can reply? Your message and the one you're trying to respond to end up with several lines of text in-between as other people chime in. It makes the conversation hard to read, and the context of your message can become unclear. That's exactly what WhatsApp's new quoted message feature aims to address.

To quote a previous message in a reply, users just need to long press on the text, and next to the existing buttons for starring/deleting/copying will be an arrow for replying. Tapping this will quote the message, displaying it alongside your reply, much like Twitter's recently updated quoting style.

502cfe19133c4db6859fd8ed93d2460b.jpg

It seems that WhatsApp is gradually rolling this feature out to the beta version of its app, or version v.2.16.118 on Android. However, some Android and iOS users have found it appearing on the standard version of their apps, with no need to update from the app stores. If you don't have the feature yet, you can try deleting and reinstalling the app on your device, otherwise just give it a day or two.

Message quoting won't do much to improve one-to-one conversations, and as of now only a single message can be quoted, but the feature could definitely make reading and understanding group chats much easier.

SOURCE 9to5Google

Plagirised from: WhatsApp introduces quoted message responses
 
kwanini telegram? mimi nakuja hapa jf miaka hio ya zamani hata telegram haijaanzishwa jamiiforums ulikuwa unaweza kum quote mtu. hii feature ipo zamani tu miaka 20 au zaidi kwenye boards, forum na social network mbalimbali
Bado tunahuhitaji mchango wako sana sekta hii ASANTE
 
kwanini telegram? mimi nakuja hapa jf miaka hio ya zamani hata telegram haijaanzishwa jamiiforums ulikuwa unaweza kum quote mtu. hii feature ipo zamani tu miaka 20 au zaidi kwenye boards, forum na social network mbalimbali
JF inafanana na Whatsapp au telegram au skype au viber??
 
JF inafanana na Whatsapp au telegram au skype au viber??
nimetoa tu mfano wa quote kwa jf, private message ya jamiiforums inafanana na ulizozitaja. unaweza kuchat in real time, inakubali emoji, unatuma picha nk

zipo IM nyingi sana zina quote toka miaka hio kama Mocospace
 
Kama ni hivyo basi quote zilianza zamani sana hata magazetini wanasiasa walikuwa wanajibizana na hadi kwenye debate za mashuleni na hata ukiandika thesis si unaweza ku quote baadhi ya vitabu.?
"Socrat"
 
Tukiongelea hiyo quote ya whatsapp na telegram, hatuwezi kulinganisha na quote za kwenye web based apps, wala quote za magazetini. Pengine kulinganisha na quote za skype kutokana na utofauti kati ya mifumo yao ya utendaji kazi. Chat zinazorun kwenye browser zinasaidiwa sana na javascript.
 
Kabisa. Telegram wanayo kitambo tu. Lkn pia telegram wanaweka delivery status (zile tiki mbili) ktk meseji za makundi,whatsapp hawana jio kitu. Delevery status iko ktk individual level
Asante mkuu, naona wewe umenielewa. Wadau hapo juu wamanikimbiza
 
Kabisa. Telegram wanayo kitambo tu. Lkn pia telegram wanaweka delivery status (zile tiki mbili) ktk meseji za makundi,whatsapp hawana jio kitu. Delevery status iko ktk individual level

Whatsapp wanatoa tick 2 kwa admins kwenye group
 
Back
Top Bottom