Msaada kuhusu intel HD Graphics

The patriot man

JF-Expert Member
Aug 16, 2015
1,042
1,222
Habari wana JF

nilikua naomba kujua series za intel HD grahpics me nasikiaga kuna
intel hd grahics ya 2000
intell hd graphics ya 2500
intel hd graphics 3000
intel hd graphic 4000
naomba kujuzwa je nitatambuaje kuwa compture yangu ni inatumia intel graphics card gani kati ya hizo hapo juu

Chief Mkwawa msaada wako unahitajika
 
click start/search halafu search neno dxdiag then click hiko kiprogram kitakupa full specs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom