Msaada: Kutengeneza website kama JamiiForums

popo1986

JF-Expert Member
Jul 30, 2014
1,120
372
Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hiyo lakini yangu itadhamiria sana katika makundi Fulani ya watu.
 
Naombeni msaada nifuate nini au natakiwa kuwa nani ni ili nitengeneze forum kama hyo lakn yangu ita dhamilia sana katika makundi Fulani ya watu,

Tumia wordpress, halafu unatumia forum plugin ya BBPRESS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom