ngome urasa
Senior Member
- May 27, 2016
- 105
- 35
Kwa anaejua jins ya ku up-date simu model iliyotajwa juu,msg inatokezea mara kwa mara ikitaka ni up-date software,ila nakua na option ya ku postpone.Je,kuna effect gani kama nitaendelea ku postpone,inaniambia kuna alternative 2 either kutumia mobile data,or wi-fi.Nikitumia wi-fi inaniambia ni eke on,nikiangalia settings ipo on.