Nauliza watalaamu wa simu

nachuliaushilu

New Member
Jun 11, 2016
2
1
Nilinunu simu yangub aina ya Samsung s4 Marekani mwaka mmoja uliopita, ajabu nimegundua kuwa IMEI iliyopo nyuma ya simu, ni tofauti na ile ya ndani ambayo naipata baada ya kuingiza number *#06#.
Ja ajabu zaidi namba ya nje nyuma ya simu inatambulika kama halali na ile ya ndani inaonesha kama ni feki.

Hii maana yake ni nini?
Nilitapeliwa au ndivyo ilivyo toka kiwandani?
 
huenda ikawa iko rooted au imebadilishwa imei baada ya kuflashiwa
 
hiyo iko hivyo mara nyingi hasa zile simu za contract... maana kampuni za mitandao ya simu uzibadilisha IMEI na kuweka mtiririko wa namba wanao utaka ili kutrack simu zao.
 
Back
Top Bottom