Kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa msaada niliopata humu baada ya kuleta uzi wangu.
My thanks go to Chief Mkwawa and other JF members.
Leo niko na shida nyingine. Nili-search uzi wa ku-download MICROSOFT OFFICE 2013 and fortunately nikaupata, kupitia link ikiyoweka niliweza ku-download ile package.
Tatizo sasa; package imekuwa saved katika sehemu ya (Devices with Removable Storage) ya computer na ipo labeled as DVD Drive (H) 15. 0. 4420. 1017. Sasa kila nikifungua nifanye installation inaniletea ujumbe usomekao "This installation package is not supported by this processor type. Contact your product vendor.
Hapo ndipo ninapohitaji msaada wenu wakuu, nifanye nini ili hii MS OFFICE 2013 iwe installed kwa computer yangu????
Natanguliza shukrani za dhati.