Miki
Senior Member
- Aug 16, 2007
- 190
- 66
Habari wana jamvi.
Sina nia mbaya na biashara za watu Lakini kwa hili.....wacha nitoe ya moyoni.
Ninapenda sana kuangalia mpira wa miguu hasa wa Uingereza (EPL); tatizo langu ni kuona DStv anang'ang'ania Africa nzima awe yeye........anyway, sio mbaya kwa hilo.
Shida yangu ni gharama zake zisizoendana na uhalisia wa kipato cha wapenda mpira, vijana kama mimi tusio na uwezo wa gharama zake.
Kulipa Tsh 219,000/- kwa mwezi ili hali kipato changu ni Tsh 350,000/- kwa mwezi hilo ni janga kwangu.
Ningependa ujumbe huu uwafikie mabosi wa kampuni ili watambue hilo.
Asante!
NAWASILISHA.