kambona jr
Member
- Feb 14, 2016
- 10
- 0
Kwa anaefahamu kama inawezekana kuhack hii game ya subway surfers kwenye WP OS ili kupata unlimited keys na coins...
Thanks in Advance
Thanks in Advance
Nawezaje kuifanya iwe developer unlocked?mpaka simu yako iwe developer unlocked ndio utaweza kucheat games kwenye windows phone
unadownload sdk ya os yako halafu ndani ya hio sdk utakuta tool ya kujisajili kama developerNawezaje kuifanya iwe developer unlocked?
Shukraniunadownload sdk ya os yako halafu ndani ya hio sdk utakuta tool ya kujisajili kama developer
mkuu na kwa Android inakuaje?mpaka simu yako iwe developer unlocked ndio utaweza kucheat games kwenye windows phone
sina uhakika sana ila nafkiri wanatumia ifunbox ni.software unadownload kwenye pc na kuitumia kuingiza save file za game kwenye simu.Na kwenye ios je.?