Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 2,756
- 1,736
Wakuu naomba anaefahamu Programm au App ya Kuunga na kuedit videos mbali mbali.
Actually nimezirekodi kupitia simu yangu but nataka nizihamishie kwenye laptop ili niziedit na kuziunga.
Kifupi kawe kama ka documentary hivi.
Nitashukuru kwa msaada.
Kwa atakaependa kunielimisha ni kwamba, sina knowledge yeyote kuhusu Graphics na mambo kama hayo. So ukinielekeza Fanya tu kwa moyo na Mungu atakubariki.
Regards
GOJAGA NIZE.