God'sBeliever
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 5,788
- 3,028
nimekua nikitamani sana kununua vitu ebay na amazon ila naingiwa na wasiwasi sana kuhusu usalama wa pesa zangu. nnimekua nikifatilia sana kupatana.com na hayo masoko hapo juu naingiwa na wasiwasi tele.
Kama kupatana wapo vibaka na matapeli kibao vipi hiko amazon na ebay?
pia nimeona amazon huwa wanauza vitu kwa bei ya chini sann yani mzigo unaweza kunguzwa hata dolla 300. ila ebay wako juu sana hivo basi napenda amazon.
tatizo ni usalama naombeni ufafanuzi wakuu niwe na amani. mnataka mniambia ebay na amazon watawafatiloa watakao tapeli au nikituma pesa inaingia amazon/ebay au kwa muuzaji directly?
Yasije kuwa ya kupatana hapa.