Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,630
- 2,459
Kampuni ya UBER inayomwezesha kila mwenye gari kufanya biashara ya TAXI sasa imeanza kazi Tanzania na itaanza safari za majaribio Alhamisi hii. Unaweza kudownload App yao Playstore au AppStore.
Kuna maswali kwenye uhalali wa biashara hii maana sasa kila mwenye gari atakuwa anaweza kufanya biashara ya TAXI bila ya kibali chochote ambayo haina tofauti na TAXI bubu ambayo ni kinyume cha sheria.
Kampuni hii ni maarufu nchini Marekani ikiwa na "Valuation" ya $68 BILLIONI na imewahi kupigwa marufuku nchi zengine kama Ufaransa kwa kuvunja sheria za usafirishaji.