Wazee wa graphics leta nondo

20PROFF

JF-Expert Member
Nov 5, 2013
8,147
7,127
Guys vip??

Hivi ni namna gani naweza pata rangi safi kama hizi na jinsi ya work na picha yenye details nyingi hivi....
1466068335304.jpg
1466068341133.jpg
1466068347731.jpg
1466068355599.jpg
 
rangi zote zipo kwenye photoshop kazi ipo kwenye kuzichanganya, pia utahitaji brush za uso. tutorial sasa hivi zipo kibao youtube watu wengi wanafanya hivyo
 
Kumix rangi na kupata hizo result shida kidgo. Nipe link kama unazo niweze download brush

Hata na hand out za color mixng
 
Kwani hizo ni picha halisi halafu zokaganyiwa graphic au ni za kuchora zikarembeshwa kwa rangi?. Ufafanuzi tafadhali
 
Hapo unaweza kuchora ikawa hvyo au ku cartoonise picha
 
cjakuelewa mkuu unapochora ni kwa kutumia rangi gani hyo rangi ya hvyo mbna cjawahi kuijua kabla
Ndo hapo tulikuwa tunajadili niongeze skills zaidi.
Hapo una changanya rangi mbali mbali kupata huo muonekano.

Mimi nilifika hapa ila naona bado sijaridhika
1466074109546.jpg
1466074120320.jpg
1466074135657.jpg
 
yaan ya kwako ilikuwa ni picha halisi kwa hyo ukawa unaicartoonize c ndo hvyo? kwa kutumia mchanganyo wa hzo rangi but naona rangi zako hazina vivuli vya kutenganisha zile body structures
There you are , ndo maana nimekuja kuongeza ujuzi hapa mkuuu
 
sasa ebu nitumie link nijaribu kuidownload hyo software alafu nijaribu na mm kutengeneza maana mm nina idea ya kuchora picha za kawaida za rangi za mafuta sasa nataka nijaribu na kwnye computer nikiweza ntakupa mrejesho manake kumix iz rangi co kazi sana inategemea na ww unataka picha yako ionekaneje
 
hujawahi tumia photoshop kabisa? una kifaa cha touchscreen?
 
Sas wew ukianza chora kwa pc utakuwa gud sana.

Maan uzir wa picha ni rangi na ukiwa mjuzi wa rangi umemaliza
 
photo shop niliwahi kujaribu kuitumia kipind flan hv sema haikuwa na vitu vingi kama ilivyosasa maana n vigeni vingine thats why nkaomba link n download hyo photoshop nijaribu kuweka kwnye pc yangu nijaribu kuedit nione inakuwaje maana nmezoea zile za kuchora kwenye mageti hzo bado cjawa mzuri but nataka nijaribu
 
Sas wew ukianza chora kwa pc utakuwa gud sana.

Maan uzir wa picha ni rangi na ukiwa mjuzi wa rangi umemaliza
kweli kabisa mkuu, unaweza ukajua kila kitu kwenye photoshop ila usipojua kupaka rangi output inakuwa haina taste
 
Back
Top Bottom