Senator jr JF-Expert Member Apr 3, 2016 367 496 Jun 16, 2016 #1 Wakuu! Nijuzeni ni zipi hasa faida za hii kitu mazna naona zimetofautiana kati ya mtu na mtu ..
Senator jr JF-Expert Member Apr 3, 2016 367 496 Jun 16, 2016 Thread starter #2 Ikiwezekana @Mods tusaidieni hii
July Fourth JF-Expert Member May 2, 2012 2,240 795 Jun 16, 2016 #4 sawasawa unauliza faida za "likes" ni zipi??
S Sumu JF-Expert Member Nov 5, 2010 6,975 6,119 Jun 16, 2016 #6 Faida yake ni kuwapata kirahisi warembo wa hapa JF.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Aug 17, 2011 37,817 26,200 Jun 16, 2016 #7 Sumu said: Faida yake ni kuwapata kirahisi warembo wa hapa JF. Click to expand... Kumbe..
Mbulu JF-Expert Member Apr 15, 2015 5,620 5,513 Jun 16, 2016 #8 Zijue faida za trophy point na maana yake hapa Jf
BOB OS JF-Expert Member Dec 11, 2011 3,431 6,848 Jun 16, 2016 #9 Wait... you guys aren't getting paid ?