Hii web app ndiyo itakayoifunika mdundo na mkito

computerkiddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2015
481
1,000
Hellow there,

Am a developer I came up with the webapp idea which will kick down mkito and mdundo hence dominating the online artistic sales around the world.

Features of the webapp:

Allowing music sales via credit card

Allowing site visitors to import contacts from gmail/yahoo/outlook and send email

Notification inviting to the site

Allowing other artistic work sales ie narations,novels,paintings,audible comedy etc

Embedding multi city/multilingua functionality so that it will be global

Embedding mobile number collector for building mobile number list hence easy advertsiment.

Enabling artist to receive their cash on monthly basis via their credit card

If you like the idea fund it from the scratch

see also other fund raising compaign

Natafuta management, kipaji changu kinaozea mtaani

My Tigopesa is +255654262419
 
utakuja

JF-Expert Member
Sep 20, 2010
927
1,000
Embu jaribu kuangalia vipindi kama Shark Tank au Dragon's Den. Before mtu aweze kuinvest lazima uonyeshe
1. Product yako; Tengeneza concept yako (design concept ya site/app yako itafananaje, then weka code au Alpha version ya website/app yako). Maana hii ni unatengeneza website/app sio bidhaa au physical product so unaweza kutengeneza idea yako bila hela.
2. Market plan yako (tuonyeshe jinsi gani, kama ulivyosema utawapita hao kina mkito/mdundo, wao wanafanya nini wewe utafanya nini bora kuliko wao au site yako ina kitu gani kufanya watanzania kuikimbilia).

Hamna mtu atakae invest in an idea, maana kila mtu anazo..
 
NullPointer

JF-Expert Member
Feb 7, 2011
3,465
2,000
Yaani kutokana na ulichoandika naweza nikasema wewe ni beginner kabisa, hii yaweza kua app yako ya kwanza au ya pili.

Kama kuna kitu nimejifunza kama developer miaka mingi ni kua the market is unpredictable, huwezi kua na uhakika hadi pale umefanya kitu na kimefanikiwa, having an idea is nothing without execution, na having a working software is nothing without successful market.

Usikae hata siku moja ukajidanganya utatengeneza kitu alafu ukajipa uhakika 100% kua utafunika mtu flani ambaye ashakutangulia na akawa successful. Ni ngumu zaidi ya unavofikiria, tengeneza kwanza, komaa nayo then uone, idea yako sio mpya, nadhani developers wengi tu washaifikiria, mimi moja wapo. Ni nadra sana kufikiria kitu ambacho hamna mtu aliwahi kufikiria.

Alafu please usikae ukaomba investment kwa an idea, business haiendi hivo, lazima utengeneze kitu, uonyeshe kua kweli kuna demand na una customer base ya kutosha then uombe investment, hakuna investor mjinga atakaye~invest kwenye just an idea tena kwa mtu ambaye hajawahi tengeneza a successful product.

Nahisi unachukulia maisha easy sana, endelea kutengeneza apps, ukifika ya tatu nne utakua umejifunza how hard it can be kupush something to the mass na wakakipokea, ingekua dawa ya kifo ungekua na uhakika 100% kua utapata wateja, ila kwa kua ni app ya music, dont give ur self high expectations. Japo pia nisikuvunje moyo, kila mtu ana siku yake, unaweza fika app yako ya 10 ndio ikawa hit ukatokea hapo, au hata ya kwanza. Keep on trying, just dont focus so much on the money, focus on solving problems hela zitakuja once you hit it.
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,684
2,000
Kitu ambacho nimeona kina changamoto ni pale uliposema

Allowing music sales via credit card

Enabling artist to receive their cash on monthly basis via their credit card

Ume research ukaona Credit card za bongo zitaweza kukufikishia hiyo Goal yako or less wewe ni mtu mwingine nje ya TZ.

Maana bado tu watu wana fight walipwe tu kwa PayPal ila BOT imekua kikwazo

Tafuta sites zinazotumika kama gateways za kufanyia credit card transactions uone Nchi zilizo supported!
 
CREDIT CARD PROCESSING HAZINAGA GEOGRAPHICAL LIMITATIONS........ ANY BANK ACCOUNT CAN ACCEPT ANY AMOUNT OF MONEY AS LONG AS YOU SET IT AS MERCHANT/BUSINESS ACCOUNT.........THOUGH IT IS EXPENSIVE TO PROCESS THE TRANSACTIONS
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,684
2,000
CREDIT CARD PROCESSING HAZINAGA GEOGRAPHICAL LIMITATIONS........ ANY BANK ACCOUNT CAN ACCEPT ANY AMOUNT OF MONEY AS LONG AS YOU SET IT AS MERCHANT/BUSINESS ACCOUNT.........THOUGH IT IS EXPENSIVE TO PROCESS THE TRANSACTIONS

Uta process vipi hizo hela mkuu?

Sites nyingi zinazo accept credit cards lazima wanapitisha kwa third party companies ambazo ndo zina process hiyo payment e.g 2Checkout

Ukifatilia hizo Kampuni zinazo process hizo payments utakuta wametaja Nchi kubwa tu.
Hauwezi Kuta eti Bongo imekua Listed yaani kuna hadi Developed countries nao hawako permited kufanya hiyo...Na wanatoa sababu you could research uone.

Had it been simple unavyosema wewe nafikiri Watanzania wangekua hawalilii PayPal kuwaruhusu kupokea pesa sababu wange Opt ku transact na kulipwa kwa system ya credit cards.

Kama utatengeneza money processing yako sawa ila je VISA/MasterCard watakubali kukuruhusu uinteract nao?
 
pesapal can do this for african countries .........
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,684
2,000
pesapal can do this for african countries .........
Same Story Mkuu

Usitake linganisha Kenya na Tanzania

Plenty of threads zimeanzishwa hapa kuuliza kama wangeweza shawishi Mpesa API iwepo kuwaruhusu ku transact na mobile money kama ilivyo kwa Kenya.

Haujawai hata iona hii walau hata ikijadiliwa hapa?

wenzetu Kenya wanaamisha mpaka Fedha zao za Skrill kuja Mpesa yaani walau tungekua na hiyo tu nahisi kungekuwepo na Success kubwa ya Transactions Online Bongo.

Suala la Kupata Pesa Tanzania kwa njia ya Online systems ni kizungumkuti
 
kama watanzania wote wamegomea hapo, basi its my time now to show them what i got.........just watch and see
 
Njunwa Wamavoko

JF-Expert Member
Aug 11, 2012
5,684
2,000
kama watanzania wote wamegomea hapo, basi its my time now to show them what i got.........just watch and see
Watanzania hawajagoma Systems ndo hazijawa Permeat or less unaenda Launch Currency yako kama bitcoin sawa ila inshort just eliminate PayPal,Mobile money and Credit Cards/Debit Cards transactions
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom