Tatizo la umeme

Mikanjuni

Member
Jan 27, 2012
59
14
Kuna nyumba nimehamia kila umeme ukikata na socket breaker inakata, na kuna wakati socket breaker inakata tu umeme. Hili tatizo ni nini fundi akija aanzie wapi.
 
Back
Top Bottom