Jamani waungwana naomba mnipe msaada nina simu ya C8 Tecno ila kinachonisumbua ni kuwa nimesave majina kwenye phonebook ila wasap ni namba tu zinaonekana na call history sasa sijui nifanye nini...
Technolojia ina mengi na inaumiza wengi tusio kuwa na uelewa nayo. Kumbe kuna wimbi kubwa sana la watu wana agiza magari kutoka nje na hata kununua kwenye show room za hapa bongo kwa kigezo cha...
Habari wakuu,
Mimi ni mzee mkoloni nisiependa kabisa hizi channel za burudani kwani zinapendwa zaidi na mke na watoto zaidi kuliko channel za habari.
Mimi sikatai wao kutizama lakini changamoto...
So sometime back nilipost kwenye jukwaa la "Matangazo Madogo" kuwa nilikua nahitaji kama kuna mtu mwenye miwani za 3D za Anaglyph ( Red & Cyan ) aweze kuniuzia... Lakini kwakwel sio hapa tu bali...
Nimejaribu kununua umeme wa LUKU kupitia Mpesa leo toka asubuhi lakini napata error message hii:
" The bill number does not meet the third-party authentication rules."
Nimejaribu kupiga customer...
Kampuni ya Buffer inayotengeneza tovuti na Apps zinazosaidia watu kumanage social media ina utamaduni wa uwazi/transparency kiasi kwamba mishahara ya wafanyakazi wote wanabandika mtandaoni...
mtandao wa sim wa voda wanahuduma ya kuwa hata simu ikiwa offline,mtu akipiga inamwambia kuwa tutamjulisha kuwa ulimpigia;sasa naomba unaipataje hii huduma?msaada plz.
Kunasababu nyingi za kutaka kujua nani amekublock kwenye account yake :mad: ? Whatever the reason kujua ni hatua chache moja wapo ni kuclick FOLLOW button kama amekublock hata ubonyeze follow...
Nahitaji kisimbusi cha startimes cha zamani. Nataka nimpelekee bibi kijijini. BAJETI yangu ni elfu 20 (tzs).
Niko mbezi mwisho - Dar
0715907360 au 0757049601
Habari zenu...
Nina simu aina ya Samsung S3 na nimesikia inawezekana kuiupdate Android version yake kwenda kweny lollipop
Kwa sasa version yake ni Jelly Bean.... Naomba msaada jinsi ya kuiupdate...
LIST OF WINDOWS KEYBOARD SHORTCUT
ALT+- (ALT+hyphen) Displays the Multiple Document Interface (MDI) child window's System menu
ALT+ENTER View properties for the selected item
ALT+SPACEBAR...
Nina Ipad 1 ios version ni 5.1.1 lakini nikitaka kuinstall whatsapp kutoka kwenye store yao wanasema niwe na ios version 8.4 sasa nikiangilia current version ni 5.1.1 je kuna uwezo wa kuupdate...
Habar wakuu,
Mimi sina uzoefu kabisa na simu aina ya samsung na nmenunua galaxy s3 used, wasiwasi wangu ni kwamba nilipo watumia TCRA imei ya hii simu nimeambiwa kuwa simu yang ni 'samsung...
Ndugu wana jamii naomba msaada kuhusu hili.
Nimesajili laini mpya ya halotel ya wanachuo na nikajiunga kifurushi cha mb 600 cha wiki ila tatizo ni moja tu kua licha ya kua nimefanya...
habari zenu waungwana..naomba msaada kwa mwenye kuweza nisaidia screen ya aina ya laptop yangu..Ni HP PROBOOK 6570b. Nahitaji screen yake kwakua yakwangu imeharibika..naomba kama utaweza nisaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.