Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Habari wana JF, Naombeni kujua wastani wa bei ya DISH kwa ajili ya kingamuzi ambacho kinatoa free channels... Yaani sio cha kampuni fulani mfano starimes, azam etc...chenyewe kinahitaji dish...
0 Reactions
0 Replies
649 Views
instagramToday, we’re excited to announce our community has grown to more than 500 million Instagrammers — more than 300 million of whom use Instagram every single day. Our community also...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa yeyote fundi naomba anihabrishe nimewasha tv yangu leo moto unaingia kama kawaida lakini kwenye screen haionyeshi picha.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habarini, simu yangu ilianguka na screen imekufa, kwa anaejua wapi ntapata hiko kioo naomba anijuze pm. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Simu yangu ni aina ya HTC ina shida ya kupiga selfie tu,yaani haipigi Kwa mtindo wa kawaida(front camera) Shida yaweza kuwa nini?
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Psychologically nimekuwa nikifaham kuwa bidhaa za LG hasa simu ni nzuri na hazina matatizo kwa mtumiaji. Ila kwa sasa naanza kupata ukakasi sasa baada ya kupitia post za baadhi ya member humu...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Naomba msaada wa Activation Keys za Window 7 Ultimate waungwana. Thanx in advance.
0 Reactions
3 Replies
818 Views
Wakuu kama kuna mtu aliyefanikiwa kutumia application yoyote kuangalia tv stations za tanzania or east africa online kwa kutumia smartphone or tablet naomba anisaidie
0 Reactions
3 Replies
5K Views
JIUNGE NA HII PROGRAM AppMahal UPATE UJISHINDIE SIMU YA SMARTPHONE KUBWA BOFYA HAPA انضم معي الى AppMahal# ! احصل عليه مجانا من متجر جوجل KWA SUALI LOLOTE KARIBU
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Naomba mtu anayejua Android smartphone nzuri ya chini ya Tsh.500,000 anijuze
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Nokia Asha 230 Inadumu chaji. Qn.Hivi ina uwezo wa kutumia browser kama vile safari na Chrome? msaada tafadhali! Qn.Bei yake dukani kwa sasa tsh ngapi kwa Dar es salaam?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tafadhali mwenye kujua solution ya tatizo hili laptop yangu aina ya HP screen haitulii vimistar juu ya screen pamoja na kushake kwa screen baada ya sec 2 .msaada tafadhali
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, nimenunua huawei p6, kwa mtu ikiwa na android version 4.4.2, nimejaribu kufanya hard reset kwa kuenda kwenye setting na pia kwa ku-click power button and volume up, lakini...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Je hili tangazo lina maana hii:- “not cybercriminals, nor hackers, nor oppressive regimes” – nor WhatsApp themselves can read your messages, unless they have your phone and password."?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Walioitumia na wanaoitumia naomba wanisaidie tafadhali TECNO L5 inakaa na chaji kwa siku ngapi kwa data ya 3G ikiwa ON while on heavy usage. Je,TECNO L5 na L8,ipi inayokaa na chaji zaidi ya mwenziye?
1 Reactions
1 Replies
648 Views
Wadau mi sio mtaalamu sana wa Teknolojia hii.Kuna system ya NHIF naitumia kuingiza information za fomu online. Tatizo leo asubuhi wakati nawasha kompyuta ikatoa ujumbe kuwa window...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau nimekua nikitumia hii software kwa Ku download Mambo ambayo siyo torrents na inauwezo mkubwa sana pamoja Lakini pia huwa na download kwa Kutumia Utorrent katika site ambazo zina Torrent...
5 Reactions
31 Replies
7K Views
Wana bodi, Salaam!! Nina tatizo na facebook yangu nime log out sasa ni kijaribu kulog in inakataa inaniambia nimekosea anwani ambayo naitumia kila niki log Anuwani hiyo ni hii...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamaani eee! Nataka kujifunza basics za graphics design (na pengine zaidi) kwa ajili ya magazeti, picha, web, etc. Je, ni wapi ndani ya dar-es-salaam kuna shule nzuri kwa ajili hii...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jamani waungwana naomba mnipe msaada nina simu ya C8 Tecno ila kinachonisumbua ni kuwa nimesave majina kwenye phonebook ila wasap ni namba tu zinaonekana na call history sasa sijui nifanye nini...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom