Simu yangu inapiga picha za 'selfie' tu

client3

JF-Expert Member
Aug 6, 2007
2,332
3,186
Simu yangu ni aina ya HTC ina shida ya kupiga selfie tu,yaani haipigi Kwa mtindo wa kawaida(front camera) Shida yaweza kuwa nini?
 
Simu yangu ni aina ya HTC ina shida ya kupiga selfie tu,yaani haipigi Kwa mtindo wa kawaida(front camera) Shida yaweza kuwa nini?

Aidha Main camera imetingishwa na ikachomoka kutoka kwenye slot yake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom