Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,909
Jamani waungwana naomba mnipe msaada nina simu ya C8 Tecno ila kinachonisumbua ni kuwa nimesave majina kwenye phonebook ila wasap ni namba tu zinaonekana na call history sasa sijui nifanye nini ili majina yaonekane wasap na Kwenye call history........ "Msaada Tafadhali"