Msaada wakuu:laptop skreen ina shakeshake

nkowosi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
569
Reaction score
646
Tafadhali mwenye kujua solution ya tatizo hili laptop yangu aina ya HP screen haitulii vimistar juu ya screen pamoja na kushake kwa screen baada ya sec 2 .msaada tafadhali
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Ina shake you mean inakata Mauno?
Ugonjwa unaitwa Parkinson Marehemu Mohamed Ali Alikuwa nao hadi Mauti ilipomchukua... So Subiri na wewe hiyo laptop ife.

Mkuu Either Cable inayounganisha Display na Mother Board ishachoka ibadilishe or Capacitor zishakuwa weak ifanyie service Power supply ugonjwa huo most of the times ni power source either adopter au mother board.

Pole sana i use to repair those thing but kwa miaka nishakimbia field hiyo naona hailipi na inaleta stress tu... Nilipogundua napata stress kwa haya mambo nikawa na mimi nanunua mpya tu like wazungu wafanyavyo... maana wazungu hata Magari wanayoyaleta yamewasumbua kidogo tu wanayasend africa maana ukitizama na bei wanazouza huwezi amini ukiringanisha na beand new car kwao haviendani.. nadhani ni dumping area kwetu... mkuu tafuta watu wa malawi uwauzie bei ya kutupa nunua mpya.
 
Shukran Mkuu kwa ufafanuz japo uwezo wa kununua Mpya sina ila nataka kujua Kama kuna uwezekano wa kuitengenezayake rudi kwenye hali yake ya mwanzo
 
Back
Top Bottom