Wapi wanafundisha Graphics Design vizuri?

Fisadi.Jones

Senior Member
Joined
Aug 15, 2008
Posts
110
Reaction score
7
Jamaani eee!

Nataka kujifunza basics za graphics design (na pengine zaidi) kwa ajili ya magazeti, picha, web, etc.

Je, ni wapi ndani ya dar-es-salaam kuna shule nzuri kwa ajili hii?

Sijali gharama, nnajali nnachokipata.

Nashukuru kwa msaada wenu.
 
Inaweza kuwa shule ya full-time au masomo ya jioni tu, vyovyote niko tayari.
 
nenda ucc udsm.

Sure!
Hawa jamaa ni wazuri sana kwa masuala ya IT.
Hivi majuzi kuna wenzangu wamehitimu short course ya graphic design pale pale University Computing Centre (UCC).
Kwa maelezo zaidi nadhani unaweza kuwatembelea ktk www.ucc.co.tz
 
Dah,

Vyuo vyetu bwana...! Yaani hiyo UCC mnayopendekeza kwa mdau ndio wanatrain course hizi?

http://www.ucc.co.tz/services/training/courses.php

Yani wanafundisha AutoCAD 2002? Ingekuwa AutoCAD 2008 walau ningewaelewa, latest release ya AutoDesk ni AutoCAD 2010 sasa siwaelewielewi hawa, na kisha tembelea TechnoBrain uone course zao.

http://www.technobrainltd.com/NHEastAfrica/fast_track_courses.aspx

Halafu hawa TechnoBrain inaweka Partners na kuweka logo zao bila kuweka links zao?

Kaazi kwelikweli
 
No hurry in Tanzania....
 
Jamaani eee!

Nataka kujifunza basics za graphics design (na pengine zaidi) kwa ajili ya magazeti, picha, web, etc.

Je, ni wapi ndani ya dar-es-salaam kuna shule nzuri kwa ajili hii?

Sijali gharama, nnajali nnachokipata.

Nashukuru kwa msaada wenu.

Kwa kuanzia tafuta free online tutorials, i.e lynda.com au kwenye website ya adobe.
 
Kama una computer, internet, software, kichwa na muda unaweza kufanya mengi wewe mwenyewe kuliko utakavyofundishwa na hivi vyuo.

Mimi nilijifunza mwenyewe kutengeneza websites na java late nineties, na nilikuwa chuo, na chuoni walikuwa hawafundishi kabisa.Nilipomaliza na kuanza kuonyesha wenzangu wakanishangaa sana.
 
Back
Top Bottom