Facebook haifunguki!

Miiku

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
3,835
2,641
Wana bodi,

Salaam!!

Nina tatizo na facebook yangu nime log out sasa ni kijaribu kulog in inakataa inaniambia nimekosea anwani ambayo naitumia kila niki log
Anuwani hiyo ni hii Dismas.Temba@facebook.com

Wadau au sahivi .com haipo?
 
Back
Top Bottom