Northern Lights
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 395
- 358
Psychologically nimekuwa nikifaham kuwa bidhaa za LG hasa simu ni nzuri na hazina matatizo kwa mtumiaji. Ila kwa sasa naanza kupata ukakasi sasa baada ya kupitia post za baadhi ya member humu ndani.
Nipo katka hatua ya kusoma reviews za LG Nexus 5X kabla ya kununua ili niweze kufanya informed decision.
Kwa hapa jukwaani nimeona wadau wengi wanailalamikia LG. Kama kuna mtu anatumia au ameshawahi kutumia Nexus 5x naomba anishirikishe uzoefu wake binafsi kabla sijajitungua. Natanguliza shukran.