Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Nipo Dar,Nina Basic knowledge ya language kama HTML,pascal na java kidogo.So nilihitaji mtu anayejua android development anipe class na nitaongea na wenzangu tujikusanye kwa pamoja.So if...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Simu yangu aina ya Tecno Boom J7 imeharibika kioo chake, nahitaji kioo kingine, anaejua gharama za kioo aniambie please
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajukwaa habari, Katika ulimwengu huu wa simu janja kumekuwa Na simu janja mbalimbali zitumiazo mifumo mbalombali ya kiuendeshaji Kama vile simu za androids ,iphone Na mfumo wake wa IOS pamoja...
1 Reactions
0 Replies
978 Views
Nimetuma msg kwa njia ya what's app Inanipa ujumbe huu, nitegemee nini?
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wanajamvi!,kwa mwenye uelewa wa kutumia vizuri na kufanya installation za volcano box naomba msaada tafadhali!
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama unaelewa kuhusu hicho nilichokiandika juu hapo .Naitaji kujua tofauti ya cache memory na cache yenyewe maana kuna lecture ananichanganya hapa?!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habari jamani mimi natumia tecno n7 sas sielewi matumizi ya Wi-Fi na nikitaka kuitumia nafanya nini???? kiukweli i know nothing about it naiona tuuu ipo ila siielewi kabisaaaaa naomba...
1 Reactions
53 Replies
19K Views
Sasa waweza anzisha biashara yako ya Web Hosting kwa bei nafuu (Reseller Package). Bronze Package (Tsh 200,000/mwaka) --Unlimited Domains --Unlimited mail account --Reseller Account --Daily...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar wana teknolojia naomba msaada PC yangu aina ya dell inspiron nikiwasha inapiga kelele kwa muda then ndo inawaka halafu pia ghafla namba nane ya keyboard haifanyi kazi jambo ambalo nashindwa...
0 Reactions
4 Replies
976 Views
Habari zenu wakuu.Ninayo heshima kwenu kupata ushauri mzuri wa kufahamu tofauti na ubora wa hizi simu. Ushauri wenu utasaidia wengi kupata kifaa bora kwa matumizi hasa ya habari na mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Natafuta kioo cha hiyo simu hapa Bongo kwa nani nitakipata msaada tafadhari hata kwa ushauri! Hapa tanzania au hata nje ya nchi! Au kama kuna fundi anacho Simu ni GENX MODEL GX7-3GS
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua bei ya mother body ya computer ya hp
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kwa wale wataalamu wa kuroot smu natumia samsung galaxy j7 nilkua naomba mnjuze ntumie app gan ya kuroot na procedure za kufuata wakuu
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau ninaomba kufahamu battery ya simu gani inayoweza kukaa kwenye tecno h6 na yenye mAh kuanzia 4000 na kuendelea au yenye uafadhari ukiweka kwenye h6
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Join me in #AppMahal! Get it FREE on Google Play... Join me in #AppMahal! Get it FREE on Google Play... Kwenye hii apps wanafanya mashindano na hutoa zawadi smartphone latest kwa kila wiki...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenye application ya whatsapp inayokubali kwenye apple ipad namuomba anitumie link auj ina la hyo application ila isiwe ya kuscan barcode
0 Reactions
0 Replies
844 Views
Wakuu naombeni msaada najua apa ndo kila kitu nataka niunge WhatsApp mbili means namba zangu zote tigo na voda kwenye simu moja. Nifanyeje ?
0 Reactions
127 Replies
16K Views
Kuanzia jana nimegundua huduma ya m-pesa inasumbua katika utumaji pesa, naomba vodacom warekebishe
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hellow wadau blogger wenzangu nina kijiblog changu ambacho tayari nishakiwekea ADSENSE, but eanings ni ndogo sana, so naomba kunijuza nifanyaje ili earning iongezeke coz now sipati kitu cha...
1 Reactions
75 Replies
10K Views
INSTAGRAM IMEFIKISHA WATUMIAJI ZAIDI YA MILLIONI 500.... SOURCE: INSTAGRAM PAGE instagram instagram:Today, we’re excited to announce our community has grown to more than 500 million Instagrammers...
0 Reactions
1 Replies
840 Views
Back
Top Bottom