Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Websites au apps zipi ni nzur za simu kwa ajil ya kudownload episodes za series kwa haraka bila longo longo wadau
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, leo wakati nachek salio nikakutana na hii.. Vip kuna yoyote aliewahi kuitumia au kujua unajiungaje
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Apple iPhone 7 to reportedly retain the 3.5mm headphone jack and boast dual-SIM functionality. “New leaked images suggest that the iPhone 7 will be the first from Apple to sport dual-SIM slots”...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Natumia HTC d820 sasa toka sa tano haina netwk hadi sasa shida nini
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu naomba ambae anaweza kunisaidia nawezaje kufanya online shopping na mzigo wangu kufika nilipo salama bila tatizo ndani ya tz?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimenunua aina hiyo ya photocopy ikiwa mpya mwaka jana tu, ila sasahivi ukiiwasha inalema message hii UPDATE FIRMWARE *BIOS MODE* 2010/10/28 VOL .01 Na haiwaki wala huwezi kufanya chochote...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu,mambo zenu?naombeni msaada wenu kujua nachotakiwa kufanya katka ku upgrade simu yangu aina ya samsung s2(orange)..hii simu ipo katika version ya gingerbread 2.3.5.ni jinsi gani naweza ku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nna Samsung galaxy s2, android version ni gingerbread so naitaji any member of this forum mwenye ujuzi wa ku-upgrade android version walau iende kwenye jellybean or above. Ntamfata alipo, na...
1 Reactions
0 Replies
668 Views
msaada plz... nna lenovo tablet PC idea Tab A3000-H ninahitaji USb cable yake.... nikitumia cable nyingine niconnect kwenye PC device haionekani..... pia mnisaidie namna ya kuinstall OS...
0 Reactions
0 Replies
523 Views
kwa wale wenye samsung galaxy j7 SM-j700H link hyo hapo ya kuweza ku upgrade android version yako kua 6 http://lifeatsamsung.com/install-official-android-6-0-1-update-galaxy-j7-sm-j700h/
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Habari ndugu wa jukwaa letu pendwa la technology. Wadau mi nina swali ningependa kuuliza hivi kwa nini kwenye computer zetu hakunaga software kwaajili ya ku-downlod programs mbali mbali za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HABARI Nili-unistall phone message storage kwa bahati mbaya, sasa inasababisha simu kukatakata network kila wakati , msaada nifanye nini ili niweze kureinstall hii system application.
0 Reactions
2 Replies
702 Views
Jaman naomben msaada jinsi ya kuweka xpossed kwenye cm yangu ya tecno c8 maana nikiweka inaonekana haiko active haifanyi chochote.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
An Android Malware “GODLESS” which contains multiple root exploits has been discovered. It has already affected thousands of android users worldwide (mostly the Asian countries). Reference...
1 Reactions
2 Replies
915 Views
Hi If any of you have ever purchased devices from china,you might have noticed them missing google play services and even when installed, it pops ups lots of errors that makes the handset to...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za jion wana jf naomba mwenyekujua anisaidie nina na tatizo, mimi kuna mtu alikuwa ananidai pesa nikamtumia miezi kama 2 imepita kwa mpesa na ikanionesha imefika sasa ni. Ekutana na yule...
1 Reactions
8 Replies
7K Views
Nnataka kununua laptop mpya lakin sijafaham sifa na ni aina gani nkachukue,, mwenye uzoefu anisaidie
0 Reactions
39 Replies
51K Views
Asante mtandao wa tigo kwa kutuwekea university offer kwenye laini zenu za 4g hata kama sio mwanachuo sasa najiunga popote hata huku nilipo ileje songwe tanzania nakipata naomba kuwasilisha
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Download update za WhatsApp na fuata melekezo kama inavyoekekezwa kwenye hii link hapa chini http://whatsapjobs.blogspot.com/2016/06/how-to-quote-in-whatsapp.html
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom