Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,396
- 15,166
Wadau nimekua nikitumia hii software kwa Ku download Mambo ambayo siyo torrents na inauwezo mkubwa sana pamoja Lakini pia huwa na download kwa Kutumia Utorrent katika site ambazo zina Torrent.
Leo mbele ya wana Jamii Forums ninatoa msaada jinsi ya kuweka/Install IDM 6.25 kwenye Computer yako hasa ya window 7 Hakikisha Una Internet
Step 1
Download IDM hapa Internet Download Manager (IDM) 6.25 Build 3 Registered (32bit + 64bit Patch) [CrackingPatching].zip
Step 2
Fungua Location ya hicho Ulicho download halafu bonyeza right click baada ya hapo extract File kwenda kwenye Deskptop
Step 3
Fungua File lile ulilo extract utalikuta kwenye desktop/screen yako ya Computer Mwanzoni.
Utakutana na
i. 32bit patch build 3
ii. 64bit patch build 3
iii. Idmman625Build 3
iv. Readme
V.www.clacking.commmmm (Haina msaada wowote)
Step 4
Nenda hapo kwenye Idmman625Build3 halafu Install IDM baada ya Kumaliza Ku install itasema IDM ime intergrate na Browser yako hasa Firefox au yoyote Pia itakwambia Uli start Computer Please Usi restart computer yako baada ya hapo neno Your IDM has been registered with fake key linaweza Kujitokeza achana nalo kata tu i close tuu
Step 5.
Sasa Angalia Computer yako kama ni 32bit au 64bit kwa wale wenye 32 bit utatumia-
Hiyo ya kwanza 32bit patch build 3
Kama 64bit utatumia hii 64bit patch build 3
Uta click next halafu baadae Finish.
Step 6
Nenda kwenye desktop Utaikuta IDM Simply Ifungue then juu yake pale kuna neno Help>About IDM Itakuandikia this product Licensed to kuna jina pale........Hapo utakua umeshafanikiwa
Onyo Usi Update hata siku moja Kwa sababu Unaitumia kwa Wizi BEI HALISI YA IDM NI TZS. 60,000 MIMI MTANZANIA WA HALI YA CHINI SIWEZI KUMUDU.