Ahsante mkuukwa sasa simu nzuri zaidi budget hio xiaomi redmi note 3 lakini hazipatikani hapa, inahitaji uagizie nje.
kwa simu zinazopatikana hapa mpya unapata simu kama galaxy j7, j5 na huawei p8 lite.
kwa used unapata flagship za 2014 kama lg g3, galaxy s5, htc m8, xperia z2 etc
Nina Xiaomi mi4 LTE nahitaj 400,000/=kwa sasa simu nzuri zaidi budget hio xiaomi redmi note 3 lakini hazipatikani hapa, inahitaji uagizie nje.
kwa simu zinazopatikana hapa mpya unapata simu kama galaxy j7, j5 na huawei p8 lite.
kwa used unapata flagship za 2014 kama lg g3, galaxy s5, htc m8, xperia z2 etc
yap mkuu unaweza kupata ila hizo za 2014 ni nzuri zaidi, japo hio note 3 nayo pia ni nzuri. kama atataka change nyingi zaidi irudi pia anaweza chukua note 3Pia naona Chief-Mkwawa amesahau kitu. Unaweza kupata Samsung Galaxy Note III kwa hiyo bei. I really recommend this phablet.
hizo j series zote zina selfie nzuri, na flash ya mbele (kama tochi tu) inawaka moja kwa moja. kama ni mpenzi wa camera nakushauri hizo kwa simu mpya na kama unaenda used zote hizo nilizotaja juu kina s5 wana camera nzuri zaidi kuliko hizo mpyaAlafu kati ya hizo ipi ina selfie camera nzuri?
Naomba mtu anayejua Android smartphone nzuri ya chini ya Tsh.500,000 anijuze
Mkuu kati ya hizi simu nichukue ipi mkuu, htc desire desire eye na p8. Ukizungumzia picha kali yaan selfie ,gaming na resolution nzuri ya kioo. Ahsanteh mkuuyap mkuu unaweza kupata ila hizo za 2014 ni nzuri zaidi, japo hio note 3 nayo pia ni nzuri. kama atataka change nyingi zaidi irudi pia anaweza chukua note 3
kwa hizo desire eye ni nzuri ila itategemea na bei sababu ni simu za kizamaniMkuu kati ya hizi simu nichukue ipi mkuu, htc desire desire eye na p8. Ukizungumzia picha kali yaan selfie ,gaming na resolution nzuri ya kioo. Ahsanteh mkuu
Kwa 450000 mkuukwa hizo desire eye ni nzuri ila itategemea na bei sababu ni simu za kizamani
sio mbaya bei hio, kama utaipata hio desire eye. specs wise ni kama galaxy s5 hivi lakini ina camera nzuri ya mbeleKwa 450000 mkuu
Ongeza laki mbili hapo upate huawei mate 7, utafurahi haijawahi tokea mi nnayo huu mwaka wa pili na haijawahi sumbua kwa chochote
Pia naona Chief-Mkwawa amesahau kitu. Unaweza kupata Samsung Galaxy Note III kwa hiyo bei. I really recommend this phablet.