Mazuri yatokanayo na simu hii. Nokia Asha 230

Jun 14, 2015
9
3
Nokia Asha 230 Inadumu chaji.
Qn.Hivi ina uwezo wa kutumia browser kama vile safari na Chrome? msaada tafadhali!
Qn.Bei yake dukani kwa sasa tsh ngapi kwa Dar es salaam?
 
hizo simu hazina suport tena ikipata tatizo lolote upo mwenyewe. pia haina hizo browser na sasa hivi ukiipata ni used bila warranty.
 
Back
Top Bottom