“Messages you send to this chat and calls are now secured with end-to-end encryption. Tap for more

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,772
12,174
Je hili tangazo lina maana hii:-
“not cybercriminals, nor hackers, nor oppressive
regimes” – nor WhatsApp themselves can read your messages, unless they
have your phone and password."?
 
Hii kitu ni kweli...sema watu wanafanyiana snitching....unaweza jadili jambo ktk grouo flan...mtu aki screeshot!? Unahisi unanamna ya kujitetea!? Ila ts TRUE KUA END TO END ECRYPTION.
 
Hila ukitumia kwenye magroup ya ku add kila MTU watu ni wengi Na hawa jamaa ndio wanakokaa kusubiri muharibu ila kama ni ndugu jamaa ukiona unafatwa jua kakuchoma ndugu yako maana ni end to end
 
Sawa kabisa watu wanachomana mnaongea mambo yenu mmbeya mmoja anatoa nnje
 
Back
Top Bottom