karugila JF-Expert Member Nov 6, 2014 1,275 684 Jun 22, 2016 #1 Kwa yeyote fundi naomba anihabrishe nimewasha tv yangu leo moto unaingia kama kawaida lakini kwenye screen haionyeshi picha.
Kwa yeyote fundi naomba anihabrishe nimewasha tv yangu leo moto unaingia kama kawaida lakini kwenye screen haionyeshi picha.
N NAKWEDE JF-Expert Member Aug 1, 2007 27,966 35,152 Jun 22, 2016 #2 waone tu mafundi walioko karibu naye ndugu yangu
karugila JF-Expert Member Nov 6, 2014 1,275 684 Jun 22, 2016 Thread starter #3 CHIKIRA MTABARI said: waone tu mafundi walioko karibu naye ndugu yangu Click to expand... Poa ngoja ntawacheki
CHIKIRA MTABARI said: waone tu mafundi walioko karibu naye ndugu yangu Click to expand... Poa ngoja ntawacheki