afande kifimbo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2015
- 6,303
- 2,714
Habari wana JF,
Naombeni kujua wastani wa bei ya DISH kwa ajili ya kingamuzi ambacho kinatoa free channels... Yaani sio cha kampuni fulani mfano starimes, azam etc...chenyewe kinahitaji dish kupata free channels...sasa dish zinazofaa kwa hiyo decoder huwa wastani wa bei ni upi..atleast niwe na picha fulani ya budget ya dish au ungo.
ASANTENI