Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Bila shaka malengo ya TCRA yameshindwa kufikiwa ama ujanja wa Wachina katika kutengeneza Simu feki ni mkubwa kuliko walivyofikiri TCRA Bila shaka TCRA walikuwa wakibaini simu fake kwa kuangalia...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF, Poleni na majukumu ya siku nzima, jamani simu yangu nokia XL inakataa program ya whatsapp na kila niki install inakata kufunguka inaniambia kuwa device is not supported. Naombeni msaada...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Nina Huawei tajwa hapo juu. Tatizo lake ilianguka na ukiiwasha inawaka, nembo ya Huawei inatokea na haimaliziki inajirudiarudia, au inawaka vizuri. Baada ya sekunde kadhaa inapoyeza kumbukumbu...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Habar wakuu, Naomba msaada kwa yeyote anayejua jambo ili la kuupdate software ya samsung galaxy s3, model SHV-E210S, android version yake kwa sasa ni 4.3. Nimejalibu mala ya kwanza imenletea...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Msaada jamani nmeidownload but niki-install siioni kwenye PC yangu so nashindwa itumia. Msaada wana jamii tafadhali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Simu yangu ni original samsung galaxy note II ila ina tatizo la kupoteza IMEI kila mara. Naomba msaada namna ya kudhibiti hili tatizo. Ahsanteni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu msaada kwenye sumsung yangu imegoma kabisa kusoma mitandao jana ilikuwa haisomi mtandao mmoja yaani VODA ila kwa sasa imegoma kabisa mitandao yote, haisomi, ila internet inafanya kazi, Nini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman wanaa JF msaada....Natkaa ku root simu yng lakn process zaa kuanzia mwanzoo mpk mwshoo sizjuii....
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Wadau wa civil eng either professional or contractor leteni mawazo na changamoto katika sekta Ya ujenzi na professional
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jina la mtandao wa modem Zain Model E1550 Hspa usb stick iko manufactured na huawei na unlock vipi iingie chip zote
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habar za mchana wakuu, Laptop yangu ni Aina ya dell vostro 1200 mwanzo ilikua na tatizo LA kuzima yenyewe hata kama ilikua haijapata joto Sana, sasa basi tokea juzi haiwaki kabisa. Msaada wakuu...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Tatizo Limeanza Jana Nilipoiwasha Ikawaka Na Kuonyesha Boot Options Lakini Windows Haikuload Nikadhani Ni Windows Imecorrupt Kila Nikijaribu Kuweka Windows Nyingine Inagoma. Kufikia Usiku Ikawa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Siku za hivi karibuni nimesikia baadhi ya marafiki na watu wa karibu wakilalamika kwamba kuna watu wamekuwa wakiwadukua mawasiliano yao. Kwamba chochote wanachofanya wao iwe kupigiwa simu ama...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau kwa waliowai kuitumia hii tecno w4, je!inafaa kwa matumizi ya kawaida na bei yake ni shilingi ngapi!
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarin wadau naomba kufahamshwa n bank gan (mbal na CRDB) naweza fungua akaunti bila usumbufu wa kupeleka barua toka serikal za mitaa ila wawe na master au visa card
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu nahitaj ushaur kwa wale matechinician wa computer ..nina laptop yangu kuna baadhi ya button hazifanyi kaz ...na pia mouse haisens..laptop yangu ni acer..msaada wa mawazoo wakuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii Simu nimetokea kuikubali sana,wataalamu naomba muichambue.
0 Reactions
2 Replies
809 Views
Salaam, Naomba kujua fundi mzuri wa LG nina simu yangu aina ya LG G4 ilianza tatizo la kuzima ghafla na kuchukua mda mrefu kuwaka. Ikiwaka ukiingia kwenye programu yoyote inazima tena na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habari zenu wanajf,naomben mnijuze vp ntaweza kuanzisha website yng mi mwenyewe au kuna process zp ambazo natakiwa kufuata kufanikish hvyo?naombeni msaada sana wandugu natumia nokia6120c au kama...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wadau naomben mnisaidie hapa hiv nnaweza ku'upgrade android version ya 5.1 (phantom 5) kwenda version 6 Kama inawezekana unafata hatua zip ili niweze ku'upgrade
1 Reactions
1 Replies
692 Views
Back
Top Bottom