Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Wadau wa jukwaa hili naombeni msaada wenu nataka kubadili pc kutoka window 8.1 iwe android wenye kujua mambo hizo msaada wenu unahitajika
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Handboss Universal cleaning agent ina madhara yapi ktk kusafishia pc?
0 Reactions
1 Replies
800 Views
Wadau najua hapa JF huwezi kukosa kitu,baada ya shemeji yenu kwenda masomoni na kazi ya kufua nguo imekuwa shuruba kwangu,sasa nataka kununua mashine ya kufulia nguo ambayo haizidi Tsh 500,000na...
0 Reactions
15 Replies
15K Views
nina simu aina ya s3 neo imecorrupt imei yake na haishiki mtandao inasema no sim found ila simu inasoma lain ukisurvey phonebook. sometimes inasema no registered found. anyone with the knowlegde...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
nina iPhone umejilock na bluetooth haitaki ku-pair. Nisaidieni
0 Reactions
5 Replies
2K Views
JE UNAYAJUA HAYA ????????????????.. KUMBEE... 1.) GOOGLE - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth. 2.) YAHOO - Yet Another Hierarchical Officious Oracle. 3.) WINDOW - Wide...
14 Reactions
18 Replies
3K Views
Naomben mwenye kufahamu anisaidie kila nikijaribu kucreate samsung account nakutakana na yafatayo "this divice was provided by employer or via employer saponsered, such as BYOD"(bring your own...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda maana ninahisi kabisa kuna mtu ananifanyia uhuni huo. Data zangu zinaisha haraka sana, mimi hutumia simu ku connect kwenye laptop kupitia wifi. juzi...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Whatsup na Facebook walitangaza kuwa baada ya muda flani Blackbery 10 zitakuwa hazitumii application zao, tufahamishane Balackbery 10 ni zipi? Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
0 Reactions
2 Replies
823 Views
Salaam! Naomba kujua anaeweza kunielewesha jinsi huduma ya maji moto kwenye hoteli kubwa inavyofungwa! Mfano:- Hakuna valves mbili za ku-control maji (moja maji moto, moja maji baridi)kama...
0 Reactions
1 Replies
878 Views
Habari wanaJF, husuka na kichwa cha habari kinavyosema, natarajia kuanzisha training ya web design and development with affordable price kwanzia tarehe 04 july 2016 . Kama wewe ni mkazi wa dodoma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba msaada. touch haifanyikazi kwenye laptop yangu hp touchscreen window 8 naomba munisaidie namna ya kuseti au chakufanya Touc
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Google has revealed Android N official name "NOUGAT"
1 Reactions
6 Replies
1K Views
za leo ndugu. husika na kichwa cha habari hapo juu. ningependa kufahamu laptop au desktop ambayo ni nzuri kwa gaming na graphics kwa pamoja. nataka kuanzisha center yangu kwa ajili ya hio...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za muda huu wapendwa waheshimiwa wa JF. Nina Jokofu langu lina muda wa takribani miaka minne tangu nilinunue yaani siku hizi ukiliwasha linawaka kama siku mbili au 3 kisha linajizima ...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii. Nilikuwa Naomba kupata msaada juu ya hiki kifaa cha power bank. Nataka kununua power bank.lakini sijui sofa gani nizitumie ili kupata iliyo nzuri zaidi Kwa simu yangu
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakuu habari za wakati huu. Nina sim yangu samsung note 3 imegoma kusoma mtandao toka asubuhi. Mtandao wa internet hauna shida inasoma kama kawaida ila sipigi wala kupokea sim. Kila nikipiga...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Samahani wana JF naomba mnijuze mwenye ujuzi was kuiwekea wimbo picha au kava pale unapouplay uwe unashow picha ambayo unaitaka iwe natanguliza shukrani zangu kwa mwenye hiyo knowledge
1 Reactions
2 Replies
719 Views
Bila shaka malengo ya TCRA yameshindwa kufikiwa ama ujanja wa Wachina katika kutengeneza Simu feki ni mkubwa kuliko walivyofikiri TCRA Bila shaka TCRA walikuwa wakibaini simu fake kwa kuangalia...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Wana JF, Poleni na majukumu ya siku nzima, jamani simu yangu nokia XL inakataa program ya whatsapp na kila niki install inakata kufunguka inaniambia kuwa device is not supported. Naombeni msaada...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom