Nimedownload Phoenix OS ila haionekani kwenye PC

mart89

Senior Member
Jan 10, 2016
112
46
Msaada jamani nmeidownload but niki-install siioni kwenye PC yangu so nashindwa itumia. Msaada wana jamii tafadhali
 
Yep nlizima nlivowasha nkachagua phoenix bt still aziplay 'inasema unfotantly mobdro has stoped' jmn
hio mobdro imeingiaje hapo? inamaana imewaka sio? sababu huwezi pata error ya application wakati os haijaingia
 
Tatizo ni pc yake mie natumia mabro vizuri tu kwa pc.mimi inachogoma ni mx player pekee.poweramp inapiga mzigo safi kabisa
 
Back
Top Bottom